John Barone — Tour Guide
♦ Tour Guide · Kenya

Discover Kenya
with
John Barone

Mimi nafanya kazi ya tuor guide mtu mwenye taaluma ya kuongoza wageni sehemu mbali mbali kama vile safari za maji boat tuor safari za msitu tsavo East ambosel masai mara pia. Kuna pia kama safari ndogo ndogo kama gede ruins for monkeys na pia malindi tour Golden beach mambrui na Robinson na marafa.

♦(01)(Safari za Msitu)© 2026

Safari za Msitu

Tsavo East, Amboseli, Masai Mara

Tunatoa safari katika mbuga maarufu, ikiwa ni pamoja na Tsavo East, Amboseli na Masai Mara. Gundua wanyamapori katika makazi yao ya asili, ukiongozwa na mwongoza watalii mtaalam.

♦(02)(Matembezi)© 2026

Matembezi

Gede, Malindi, Mambrui, Robinson, Marafa

Kuna pia kama safari ndogo ndogo kama gede ruins for monkeys na pia malindi tour Golden beach mambrui na Robinson na marafa. Pia tunapanga safari za maji na boat tour.

♦ (06)(Contact)© 2026

Book your
Safari